Nancy Rogony

norah-rogonyKatika seretut ward, wanawake wako na furaha nyingi sana kwa Patron wetu aliye amsha wanawake kwa usingizi waliokuwa nao na hawakuwa na mwelekeo.

Wakati mama alipo anza Bewo, wanawake wameanza kufuka kuku kwa wingi. Kila wiki wanauza mayai isiyo chini ya mia moja, wanalipa fees ya watoto na vitu vya nyumba. Hawaitaji msaada kutoka pahali pengine isipokuwa Bewo. Kwa hivyo wanawake wanajifunia Bewo. Hongera Bewo Patron wetu kwa kuanzia grassroots kuinua waziojiweza.